KAULI YA PENGO DHIDI YA GWAJIMA ~ :: Habari Duniani

BABA ASKOFU CARDINAL PENGO
ASKOFU PENGO
'Kuna mtu mmoja,ambaye hata jina lake silikumbuki,ameinuka na kunena maneno juu yangu,ambayo yamewaudhi baadhi hata yenu.Langu mimi kwake ni msamaha tu,nasema nimemsamehe kutoka ndani ya chembe ya moyo wangu kabisa.
Endapo liko jambo linafanywa na wakuu wa serikali,nadhani hao wanatekeleza tu wajibu wao.

UFUFUO NA UZIMA
JOSEPHAT GWAJIMA AKIONGOZANA NA VIONGOZI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

Mimi narudia tena, nimemsamehe tena kabisa na ninawaomba tumuombee ili Mungu adumishe amani ya Taifa hili.' Pengo amesema - PENGO.

GWAJIMA BAADA YA KUHOJIWA AZIMIA NA KULAZWA HOSPITAL

UFUFUO NA UZIMA
Gwajima akiwa hospitali
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE