KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA YAHAIRISHWA ~ :: Habari Duniani

TANZANIA KURA YA MAONI UCHAGUZI 2015

KURA YA MAONI YA KATIBA YAHAIRISHWA

Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imesema kuwa kura ya maoni ya katiba inayopendekezwa, haitaweza kufanyika tena tarehe 30 April hadi hapo itakapotangazwa tarehe nyingine tena.

NEC imesema sababu ya kuhairisha kura hiyo April 30 ni kutokana na kutokamilika kwa zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE