WHATSAPP MARUFUKU KWA WANAWAKE ~ :: Habari Duniani

Whatsapp Marufuku kwa Wanawake

Kiongozi wa Chechnya Ramzan Kadyrov amewataka wanaume kuwazuia wake wao kutumia mtandao wa kijamii wa WhatsApp.
Kauli hiyo imefwatia mjadala mkali wa umma baada ya mada ya ndoa ya lazima kusambaa katika mtandao huo wa kijamii.


Kadyrov amekaririwa akisema "wafungieni ndani, msiwaache wakatoka nje, hivyo hawatatuma chochote"
READ MORE
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE