WATANGAZA NIA WALIOENDA KWA TB JOSHUA ~ :: Habari Duniani


Mwaka 2015 ni mwaka wa uchaguzi nchini Tanzania. Kupitia wanachama  mbalimbali nchini kutangaza nia kupitia vyama vyao tunakuletea baadhi ya picha zikionyesha wakiwa kanisania au wakiwa pamoja na Mhubiri maarufu Duniani TB Joshua.


Magufuri nae alichukua fomu ya kutangaza kugombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.


Mwiguru Nchemba naye alichukua fomu ya kutangaza kugombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE