ESTER BULAYA KUTOGOMBEA KUPITIA CCM VITA NI YAKE NA WASSIRA BUNDA MJINI ~ :: Habari Duniani

Aliyekua Mbunge wa Viti Maalu, Ester Bulaya ametangaza kutokugombea Ubunge kupitia CCM.

Jimbo la Bunda Mjini

Mchuano unatarajiwa kuwapo katika Jimbo la Bunda Mjini ambako Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira atavaana na aliyekua Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya.

Wabunge hao wa CCM wamekuwa wakitambiana muda mrefu na wakati mwingine waliwahi kurushiana maneno hadi bungeni, lakini mwisho wa tambo zote ni kwenye kura za maoni.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE