ALEXIS TSIPRAS WAZIRI MKUU WA UGIRIKI AJIUZURU ~ :: Habari Duniani

Alexis Tsipras resigns

UGIRIKI
Waziri Mkuu wa Ukigiki (Alexis Tsipras) siku ya Alhamisi ametangaza kujiuzuru na kuitisha uchaguzi mwingine. Alexis Tsipras atakutana na raisi Prokopis Pavlopoulos, ili amkabidhi maamuzi yake ya kujiuzuru. Tarehe ya uchaguzi mwingine bado haijatangazwa.

Alexis Tsipras ajiuzuru

Alexis Tsipras ambaye aliingia madarakani January, amefanya maamuzi hayo baada ya bunge kupitisha maamuzi ya kiuchumi juu ya nchi ya Ugiriki, yakiwemo ya kuongeza kodi za mauzo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE