UKAWA: WAMTAMBULISHA MGOMBEA URAISI MWANZA ~ :: Habari Duniani


Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, wamepokelewa kwa kishindo jijini Mwanza ikielezwa kuwa idadi ya watu waliojitokeza kumlaki mgombea huyo ni mara dufu ya wale waliojitokeza mikoa ya Dar, Mbeya na Arusha.Wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo uwanja wa ndege wa Mwanza, Jeshi la Polisi lililazimika kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu ya machozi kutokana na msululu mkubwa wa watu waliokuwa wanataka kuingia eneo la uwanja wa ndege.

habari za Lowassa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE