HONGERA JAKAYA KIKWETE KWA KUTIMIZA MIAKA 65 ~ :: Habari Duniani

Tarehe kama ya Leo miaka 65 iliyopita Raisi wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu, Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa. Raisi Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa Oktoba 7, 1950.

Ndoa ya Kikwete

Jakaya Kikwete ni mwenyeji wa Msonga,Wilaya ya Bagamoyo.  Alimuoa Salma Kikwete mwaka 1989 hii ikiwa ni ndoa yake ya pili.

Elimu ya Kiwete

Jakaya Kikwete alisoma Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Watoto wa Kikwete

Watoto wake ni Ridhiwani Kikwete, Ally Kikwete, Khalfan Kikwete, Rashid Kikwete, Salama Kikwete, MwanaAsha Kikwete, Miraj Kikwete, Khalifa Kikwete, Mohamed.

Uongozi wa Kikwete

Ni Raisi wa Tanzania wa awamu ya nne tangu mwaka 2005.
Katibu wa 6 wa Umoja wa Afrika, kuanzia 31 Januari 2008 mpaka 2 Februari 2009.
Waziri wa 11 wa Mambo ya Nje, Novemba 1995 – 21 Disemba 2005.
Waziri wa 7 wa Fedha 1994 – 1995.
Mbunge wa Chalinze 1995-2005.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE