110 MAJINA YA WABUNGE WANAWAKE WA VITI MAALUM ~ :: Habari Duniani

MAJINA YA WABUNGE WA VITI MAALUM

UGAWAJI WA VITI MAALUM KWA KILA CHAMA CHA SIASA UNAZINGATIA IBARA YA 7891) YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 INAYOELEZA KUWA CHAMA CHA SIASA KILICHOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU NA KUPATA ANGALAU ASILIMIA (5%) YA KURA ZOTE HALALI ZA WABUNGE KITAPENDEKEZA MAJINA YA WANAWAKE KWA TUME ILI WAWEZE KUTEULIWA KUWA WABUNGE WA VITI MAALUM KWA KUZINGATIA UWIANO WA KURA AMBAZO KILA CHAMA KIMEPATA.

NAMNA YA KUPATA IDADI YA VITI MAALUM

UGAWAJI HUO NI KAMA IFUATAVYO:

IDADI YA VITI MAALUM = IDADI YA KURA ZOTE HALALI AMBAZO CHAMA KIMEPATA
                                            IDADI YA KURA ZOTE ZA VYAMA VILIVYOPATA ANGALAU 5% X 133

64 MAJINA YA WABUNGE WA VITI MAALUM WA CCM 

MAJIAN MENGINE BOFY HAPA

36 MAJINA YA WABUNGE VITI MAALUM WA CHADEMA

 MAJINA MENGINE BOFY HAPA

10 MAJINA YA WABUNGE VITI MAALUM WA CUF


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE