.MZEE ALIYECHORA NEMBO YA TAIFA AFARIKI DUNIA ~ :: Habari Duniani

Mzee aliyechora nenmbo ya Taifa afariki dunia
Mzee Francis Maige Kanyasi alipolazwa Hospitali.
Dar es Salaam, Muhimbili. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetoa taarifa kwa umma kuwa Mzee Francis Maige Kanyasu (86) “Mzee Ngosha” amefariki dunia jana tarehe 29 Mei, 2017 saa mbili na nusu usiku. Mzee Ngosha inaaminika ndiye aliyechora neno ya Taifa.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

SOCIALIZE

IN CASE YOU MISSED IT

FOR INSURANCE SERVICES CLICK HERE